kusema [0.5; saying] (GEN 12:7, GEN 12:18, GEN 15:4, GEN 18:13, GEN 18:15, GEN 18:23, GEN 18:27, GEN 18:27, GEN 18:29, GEN 18:31, ... +811)
EXO 33:12 Musa alisema na Yahweh, “ Ona, umekuwa ukisema na mimi, ‘ Chukua watu hawa safarini, ’ lakini haujaniambia nani utamtuma na mimi. Umesema, ‘ Nina kujua kwa jina, na umepata upendeleo kwangu. ’
LEV 19:16 Usiende huku na huko ukisema habari za uchochezi miongoni mwa watu wako, bali tafuta kuyalinda maisha ya jirani yako. Mimi ndimi Yahweh.
JDG 7:3 Basi, tangaza masikioni mwa watu, ukisema, ‘ Yeyote anayeogopa, anayetetemeka, arudi na atoke katika mlima Gileadi. ’ ” Basi, watu 22,000 wakaondoka, na 10,000 wakabaki.
1KI 1:13 Nenda kwa mfalme Daudi; ukamwambie, ‘ Bwana wangu mfalme, Je, haukumwapia mtumishi wako, ukisema, ‘ Hakika Sulemani mwanao atatawala baada yangu, na ataketi kwenye kiti changu cha enzi? ’ Kwa nini basi Adonia anatawala? ’
1KI 1:17 Naye akamwambia, “ Bwana wangu, ulimwapia mtumishi wako kwa jina la Bwana, Mungu wako, ukisema, ‘ Hakika Sulemani mwanao atatawala, baada yangu, naye ataketi kwenye kiti changu cha enzi. ’
2KI 8:8 Mfalme akamwambia Hazaeli, “ Chukua zawadi kwenye mkono wako na uende ukakutane na mtu wa Mungu, na ukazungumze na BWANA kupitia yeye, ukisema, “ Je nitapona huu ugonjwa wangu? ”
2CH 2:2 Sulemani akatuma ujumbe kwa Hiramu, mfalme wa Tiro, ukisema, “ Kama ulivyofanya na Daudi baba yangu, ulivyomtumia magogo ya mierezi ili ajenge nyumba ya kuishi, fanya hivyo hivyo na mimi.
2CH 25:18 Lakini Yehoashi mfalme wa Israeli akatuma wajumbe kwa Amazia mfalme wa Yuda, akisema, Mbaruti uliokuwa Lebanoni ulituma ujumbe kwa mwerezi ulioko Lebanoni, ukisema, Mtoe binti yako kwa mwanangu awe mke wake; lakini akapita hayawani katika Lebanoni akatembea na kuukanyaga chini mbaruti.
JOB 33:8 Umesema kwa hakika katika masikio yangu; nimeisikia sauti ya maneno yako ukisema,
ISA 41:26 Ni nani aliyetangaza hili tangu mwanzo, ili tuweze kujua? Na kabla ya mda, ili tuseme, “ Yuko sawasawa ”? Kweli hakuna hata mmoja aliyekiri hili, ndio hakuna hata mmoja aliyekusikia ukisema chochote.
GEN 1:22 Mungu akavibariki, akisema, “ Zaeni na muongezeke, na mjae majini katika bahari. Ndege waongezeke juu ya nchi. ”
GEN 2:16 Yahwe Mungu alimuagiza mtu akisema, “ Kutoka kwenye kila mti bustanini waweza kula kwa uhuru.
GEN 5:29 Akamuita jina lake Nuhu, akisema, “ Huyu ndiye atatupatia pumziko kutoka katika kazi yetu na kutoka katika kazi ya taabu ya mikono yetu, ambayo lazima tuifanye kwa sababu ya ardhi ambayo Yahwe ameilaani. ”
GEN 9:8 Kisha Mungu akazungumza na Nuhu na wanae pamoja naye, akisema,
GEN 14:19 Alimbariki akisema, “ Abarikiwe Abram na Mungu aliye juu sana, muumba wa mbingu na nchi.
GEN 15:18 Siku hiyo Yahwe akafanya agano na Abram, akisema, “ Ninatoa nchi hii kwa uzao wako, kutoka mto wa Misri hadi kwenye mto mkuu, Frati -
GEN 17:3 Abram akainama uso wake hadi chini ardhini na Mungu akazungumza naye, akisema,
GEN 21:22 Ikawa kwamba katika wakati ule Abimeleki na Fikoli kamanda wa jeshi lake akamwambia Abraham, akisema, “ Mungu yuko pamoja na wewe katika yote uyatendayo.
GEN 22:7 Isaka akazungumza na Abraham baba yake akisema, “ Baba yangu, ” naye akasema, “ Ndiyo mwanangu. ” Akasema, “ Tazama huu ni moto na kuni, lakini yuko wapi mwanakondoo kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa? ”
GEN 23:3 Kisha Abraham akainuka na kutoka kwa mkewe aliye kufa, akanena na watoto wa kiume wa Hethi, akisema,
GEN 1:3 Mungu akasema, “ Na kuwe nuru, ” na kulikuwa na nuru.
GEN 1:6 Mungu akasema, “ Na kuwe na anga kati ya maji, na ligawe maji na maji. ”
GEN 1:9 Mungu akasema, “ Maji yaliyo chini ya mbingu yakusanyike pamoja mahali pamoja, na ardhi kavu ionekane. ” Ikawa hivyo.
GEN 1:11 Mungu akasema, “ Nchi ichipushe mimea: miche itoayo mbegu na miti ya matunda itoayo matunda ambayo mbegu yake imo ndani ya tunda, kila kitu kwa namna yake. ” Ikawa hivyo.
GEN 1:14 Mungu akasema, “ Kuwe na mianga katika anga kutenganisha mchana na usiku. Na ziwe kama ishara, kwa majira, kwa siku na miaka.
GEN 1:20 Mungu akasema, “ Maji yajae idadi kubwa ya viumbe hai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu. ”
GEN 1:24 Mungu akasema, “ Nchi na itoe viumbe hai, kila kiumbe kwa aina yake, mnyama wa kufugwa, vitu vitambaavyo, na wanyama wa nchi, kila kitu kwa jinsi yake. ” Ikawa hivyo.
GEN 1:26 Mungu akasema, “ Na tumfanye mtu katika mfano wetu, wa kufanana na sisi. Wawe na mamlaka juu ya samaki wa bahari, juu ya ndege wa angani, juu ya wanyama wa kufuga, juu ya nchi yote, na juu ya kila kitu kitambaacho kinacho tambaa juu ya nchi. ”
GEN 1:29 Mungu akasema, “ Tazama, nimewapeni kila mmea uzaao mbegu ambao uko juu ya nchi, na kila mti wenye tunda ambalo lina mbegu ndani yake. Vitakuwa ni chakula kwenu.
GEN 2:18 Kisha Yahwe Mungu akasema, “ Siyo jambo jema kwamba mtu huyu lazima awe pekeyake. Nitamfanyia msaidizi anaye mfaa. ”
GEN 12:7 Yahwe akamtokea Abram, na kusema, “ Nitawapa uzao wako nchi hii. ” Kwa hiyo Abram akamjengea madhabahu, Yahwe ambaye alimtokea.
GEN 12:18 Farao akamwita Abram na kusema, “ Nini hiki ambacho umenifanyia? Kwa nini hukuniambia kuwa alikuwa mke wako?
GEN 15:4 Kisha, tazama, neno la Yahwe likaja kwake, kusema, “ Mtu huyu hatakuwa mrithi wako; isipokuwa atakaye toka katika mwili wako ndiye atakuwa mrithi wako. ”
GEN 18:13 Yahwe akamwambia Abraham, “ Kwa nini Sara amecheka na kusema, ‘ Je ni kweli nitazaa mtoto, nikiwa mzee? ’
GEN 18:15 Kisha Sara akakataa na kusema, “ Sikucheka, ” kwa kuwa aliogopa. Yahwe akasema, “ Hapana ulicheka. ”
GEN 18:23 Kisha Abraham alikaribia na kusema, “ Je utawafutilia mbali watakatifu pamoja na waovu?
GEN 18:27 Abraham akajibu na kusema, “ Tazama, nimeshika kusema na Bwana wangu, hata kama mimi ni mavumbi na majivu!
GEN 18:27 Abraham akajibu na kusema, “ Tazama, nimeshika kusema na Bwana wangu, hata kama mimi ni mavumbi na majivu!
GEN 18:29 Akaongea naye tena, na kusema, “ Itakuwaje ikiwa arobaini watapatikana pale? ” Akajibu, “ Sitafanya kwa ajili ya hao arobaini. ”
GEN 18:31 Akasema, “ Tazama, nimeshika kusema na Bwana wangu! Pengine ishirini watapatikana pale. ” Akajibu, “ Sitaharibu kwa ajili ya hao ishirini. ”